STAGE |
TIME |
TEACHER'S ACTIVITIES |
STUDENT'S ACTIVITIES |
ASSESSMENT |
INTRODUCTION |
5 |
Mwalimu awaongoze wanafunzi, kwa kutumia majadiliano, maswali na majibu, waeleze taarifa muhimu za maisha ya mwandishi wa kila kitabu. |
kwa kutumia majadiliano, maswali na majibu, waeleze taarifa muhimu za maisha ya mwandishi wa kila kitabu. |
Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kazi ya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi |
PRESENTATION |
20 |
Ongoza Wanafunzi watafute taarifa hizo kwa njia ya kazi mradi |
Wanafunzi watafute taarifa hizo kwa njia ya kazi mradi |
Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kazi ya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi |
REFLECTION |
5 |
Mwalimu aongoze majadiliano ya taarifa za waandishi zilizokusanywa na wanafunzi. |
Wanafunzi wafanye majadiliano |
Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kazi ya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi |
REINFORCEMENT |
5 |
Mwalimu aongoze majadiliano ya taarifa za waandishi zilizokusanywa na wanafunzi. |
Kila mwanafunzi ajibu maswali ambayo ameulizwa na mwalimu. Mwanafunzi apate ufafanuzi |
Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kazi ya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi |
CONCLUSION |
5 |
Andika muktasari wa nukuu, simamia wanafunzi wafanye mazoezi |
Mwanafunzi aweze kufanya kazi ya ziada atakayopewa kwa umakini na kuuliza maswali ili kupata jibu |